AB Skillz Ft Dully Sykes,Zahran - Nakupenda

 ALHAMIS EXCLUSIVE   Leo TBT yetu tunaanza na AB Skillz na wimbo wa "Nakupenda" akimshirikisha Dully Sykes na Zahran. Ni moja ya kolabo kali za bongo flava zilizowahi tingisha jiji kila kona.Track ilikuwa produced chini ya studio za G Records.Picha (Wananchi Video Production)Enjoy Kisha Share na wana!!

Chorus: Dully Sykes
Nilikupenda na kupenda,na nitazidi kukupenda,
popote unapokwenda daima mi nitaenda,wanga wanaleta propaganda,
na kuanza kukuponda, hiyo mimi sijali nitazidi kukupenda.

  DOWNLOAD AB SKILLZ - NAKUPENDA | MP3
This is Bongo Exclusive Official Website (Everything Exclusive) you can follow our social network pages or email us: bongoexclusive@hotmail.com

Become Our VIP Subscriber, Jiunge Sasa!

 
Top